Card image cap

Ana soko kubwa kwenye tasnia ya filamu za uokoaji au za kusaidia watu wenye mahitaji pamoja na kufanya biashara ya kuweka maudhui yake kwenye mitandao ya kijamii. Anaweza kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja tu akijiajiri huku kuliko kuajiriwa.
added by Anonymous 620 days ago 0    0

Kijana Majaliwa angenufaika zaidi kama angejiajiri
21
1

Pamoja na nia njema ya Mheshimiwa Rais Samia S. Hassan kumpatia kazi kijana Majaliwa aliyeokoa abiria kwenye ajali ya ndege, Majaliwa angepata fursa kubwa zaidi kama angejiajiri kutokana na umaarufu wake wa hali ya juu alioupata baada ya kitendo chake cha kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuokoa wengine.

How do you vote?

Card image cap

kwavile tayari alisha jiali na hakupata mafanikio yoyote kwahiyo bora akiajiliwa
added by 1000833891 563 days ago 0    0