Card image cap
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Ujerumani na Japani
12
0

Mechi za mwanzo mwanzo za kombe la dunia 2022 ndiyo hizi zinakuja kwa kasi ya aina yake. Mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu na napenda kuangalia mechi zote nikijaliwa muda, lakini najua kabisa haitawezekana kuziangalia zote. Hata hivyo kwa vile YEM BET inanipa nafasi ya kujipatia zawadi kwa kubashiri mshindi tu, basi nafasi hiyo sitaiacha, nitabashiri mshindi kwa kila mechi nijipatie YEM za bure. Kama upo tayari kushiriki nami katika kubashiri mshindi wa kila mechi karibu tuanze sasa bila kuchelewa.
JE, Ujerumani itaishinda Japani?

How do you vote?

Card image cap