Card image cap
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022; Wales na Uingereza
15
3

Mechi za kombe la dunia la FIFA 2022 zinaendelea na radha yake tunaiona. Mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu na napenda kuangalia mechi zote nikijaliwa muda, lakini najua kabisa haitawezekana kuziangalia zote. Hata hivyo kwa vile YEM BET inanipa nafasi ya kujipatia zawadi kwa kubashiri mshindi tu, basi nafasi hiyo sitaiacha, nitabashiri mshindi kwa kila mechi nijipatie YEM za bure. Kama upo tayari kushiriki nami katika kubashiri mshindi wa kila mechi, Je Wales itaishinda Uingereza?

How do you vote?

Card image cap