Card image cap

France wins all the way, with the top giants playing for France it is a big upset.
added by 1000944275 585 days ago 2    0

Kombe la Dunia FIFA 2022: Ufaransa Vs Moroko
22
8

Mechi za kombe la dunia la FIFA 2022 zimeingia roundi ya nusu fainali baada ya kumaliza mzunguko wa robo fainali, huku timu zaa nchi 4 zikiyaaga mashindano haya. Tumeshuhudia washindi 4 watakaochuana katika mzunguko wa nusu fainali. Mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu na napenda kuangalia mechi zote nikijaliwa muda, lakini najua kabisa haitawezekana kuziangalia zote. Hata hivyo kwa vile YEM BET inanipa nafasi ya kujipatia zawadi kwa kubashiri mshindi tu, basi nafasi hiyo sitaiacha, nitabashiri mshindi kwa kila mechi nijipatie YEM za bure. Kama upo tayari kushiriki nami Je Ufaransa itaishinda Moroko ?

How do you vote?

Card image cap