Card image cap

Yanga imeshinda mashindano mengi zaidi na ndiyo timu pekee yenye wachezaji bora na waliofunga magoli mengi zaidi kwenye mashindano mengi
added by Anonymous 335 days ago 2    0

Yanga ndiyo timu bora zaidi hapa Tanzania
26
2

Klabu ya Yanga ndiyo miungoni mwa timu bora zaidi hapa kwetu Tanzania kwa kipindi cha takriban miaka mitatu mfululizo kwavile imeonyesha uhodari wake wa soka

How do you vote?

Card image cap