Card image cap

hii ni kweli, taaluma ya ualimu inaachwa kwa sababu walimu wamekuwa nje ya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja
added by Anonymous 659 days ago 2    0

Wanafunzi wachache sana watafikiria kuchukua kozi za kufundisha
9
0

Imekuwa zaidi ya mwaka mmoja tangu COVID-19 kusababisha shule kufungwa, sasa walimu na wakufunzi wanalia kwa umasikini mkubwa. Wengine wameamua kilimo na wengine kwa ujenzi wa matofali. Hakika baada ya uzoefu huu, wazazi na wanafunzi hawatafikiria kozi za ualimu.
PRO AU HAPANA ??

How do you vote?

Card image cap